siku ya kuwekwa : July 24th, 2024
Pangani_ Tanga.
Kamati ya lishe Wilaya ya Pangani imefanya kikao cha utekelezaji wa Viashiria vy Mkataba wa Lishe Robo ya Nne Aprili hadi Juni kwa mwaka wa fedha 2023/...
siku ya kuwekwa : July 23rd, 2024
Jumla ya Shilingi Milioni 116, fedha kutoka Serikali Kuu, zatumika katika Ukamilishaji wa madarasa 8 yenye ofisi 3 na vyoo matundu 30 Shule ya Sekondari Pangani Halisi.
Hadi sasa mradi upo kati...