siku ya kuwekwa : April 16th, 2024
Mwenge wa Uhuru umekagua na kuridhishwa na mradi wa ujenzi wa Vyumba (4) vya Madarasa pamoja na Matundu 7 ya Vyoo kwaajili ya Kidato cha 5 & 6.
Hayo yamefanyika Aprili 16,202...
siku ya kuwekwa : April 16th, 2024
Mwenge wa Uhuru umekagua na kuzindua mradi wa Ujenzi wa jengo la Radio Pangani Fm 107.5 lililopo Boza Wilayani Pangani.
Hayo yamefanyika leo Aprili 16,2024 ,Mwenge wa Uhuru ...
siku ya kuwekwa : April 16th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Mussa Kilakala ameongoza Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru leo Aprili 16,2024 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Muheza.
Mwenge wa Uhuru umepokelewa kwa kis...