LENGO KWA MWAKA
Kuendelea kusimamia ujenzi wa jengo kwa kumtumia Mtalaamu Mwelekezi (Consultancy Services ) awamu ya pili Kampuni ya Y&P CONSULT LTD ya Dar es salaam
HALI HALISI YA UTEKELEZAJI
Ujenzi uko hatua ya kupiga plaszta ndani na nje ya jengo mkandarasi M/S SIHA ENTERPRISEA Mkataba Namba. LGA-129/2016/2017/LCDG/W/01 na Huduma za ushauri na usimamizi wa Mradi zinaendelea kutolewa
GHARAMA YA MRADI
Tsh 1,169,527,981
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa