JINA LA MRADI:Ujenzi wa miundombinu ya kutolea huduma za Afya kituo cha Mkalamo
LENGO LA MRADI:Ujenzi wa nyumba ya Mganga, Maabara , Chumba cha upasuaji na wodi ya wazazi
UTEKELEZAJI :Ujenzi wa nyumba ya Mganga, maabara , chumba cha upasuaji na wodi ya wazazi umefikia hatua ya umaliziaji na jengo la wagonjwa (OPD) lipo hatua ya upauaji katika kituo cha afya Mkalamo
IDARA:AFYA
GHARAMA ZA MRADI:400,000,000
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa