JIOGRAFIA YA WILAYA
Wilaya ya Pangani ni miongoni mwa wilaya nane (8) zinazounda Mkoa wa Tanga. Kijiografia Wilaya ya Pangani iko kusini mwa Jiji la Tanga, kwa upande wa Mashariki inapakana na Bahari ya Hindi, Magharibi Wilaya ya Handeni, Kaskazini Wilaya ya Muheza na Kusini Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Wilaya ipo Kms 47 kutoka Makao Makuu ya Mkoa. Wilaya ina ukubwa wa eneo la Kilomita za Mraba (KM 2) 1,830.8, na sehemu kubwa iko kwenye ukanda wa Pwani ambapo mto Pangani unaingia Bahari ya Hindi kwa maelezo zaidi bonyeza hapa
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa