ELIMU
IDARA YA ELIMU MSINGI
Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ina jumla ya shule za msingi 35. Shule za Serikali ni 32 na 3 za binafsi. Shule za Serikali zina jumla ya wanafunzi 10,105 wakiwemo wavulana 5,157 na wasichana 4,948 na Walimu 229.(me- 112na ke- 117).
Aidha zipo shule 34 za elimu ya awali, zikiwemo za serikali 31 na 3 ya binafsi. Shule za serikali za Elimu za Awali zina jumla ya wanafunzi 1613 wakiwemo wavulana 818 na wasichana 795 Shule binafsi ina jumla ya wanafunzi 330 wakiwemo wavulana na 151 na wasichana 179.
ELIMU YA SEKONDARI
Wilaya ya Pangani ina shule za sekondari 10, kati ya hizo 7 ni za serikali na 3 zisizo za serikali (Non Government Schools) zenye jumla ya wanafunzi 2461 (Wav. 1178 na 1283).
MAFANIKIO YA SEKTA YA ELIMU
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa