AFYA
Kwa ujumla huduma za Afya Wilayani zinaridhisha. Huduma hizo zinatolewa katika vituo 22 vifuatavyo:-
MIFUKO YA HIFADHI YA AFYA YA JAMII
Wilaya imelenga kuboresha utoaji wa huduma za Afya na kuongeza uandikishaji wa wanachama wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF).
Hadi kufikia Disemba, 2016 kaya 9,324 zilisajiliwa kujiunga na mfuko wa Afya Jamii zenye jumla ya Wanufaika 37,296 sawa na wastani wa asilimia 76% ya kaya zote. Aidha jumla ya Wamama Wajawazito 1,030 walilipiwa na Mfuko wa KFW kujiunga na CHF
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa