Zoezi la usambazaji wa maji safi na salama Wilayani Pangani linaendelea kutekelezwa kwa kasi, likiwa na lengo la kupunguza uhaba wa maji na kuboresha maisha ya wananchi.

Miradi hii ya maji ukiwemo mradi mkubwa wa miji 28 unalenga kuimarisha upatikanaji wa maji kwa jamii, na kuwezesha shughuli za kijamii na kiuchumi kufanyika bila changamoto ya maji.

Serikali inaendelea kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha kila mwananchi anapata maji safi na salama karibu na makazi yake.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa