siku ya kuwekwa : January 19th, 2026
Ujenzi wa madarasa 3 kupitia mradi wa BOOST katika Shule ya Msingi Masaika, wilayani Pangani, unaendelea vizuri.
Hatua kubwa za ujenzi zimekamilika na kazi zinaendelea kwa kasi ili kuhaki...
siku ya kuwekwa : January 15th, 2026
Zahanati ya Mwembeni yafikia hatua za mwisho za maandalizi kutoa huduma bora za afya kwa wananchi wa Pangani.
Mradi huu ni sehemu ya dhamira ya Serikali kuboresha upatikanaji wa huduma za afya ...
siku ya kuwekwa : January 15th, 2026
Zoezi la usambazaji wa maji safi na salama Wilayani Pangani linaendelea kutekelezwa kwa kasi, likiwa na lengo la kupunguza uhaba wa maji na kuboresha maisha ya wananchi.
Miradi hii ya maji ukiw...