siku ya kuwekwa : August 21st, 2023
Akionyesha hisia zake za furaha wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya NIACHE NISOME PANGANI INANITEGEMEA, Agosti 19,2023, Prof. Adolf Mkenda amesema ni wakati sahihi kwa maeneo mengine kwa ujumla kuja Pang...
siku ya kuwekwa : August 21st, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Pangani Mhe. Zainab Abdallah na Mkurugenzi wa Taasisi ya Nasimama na Binti, Wema Isack Sepetu, wametembelea na kuzungumza na wanafunzi wa Shule za Sekondari Kipumbwi, Bushiri, Kimang...
siku ya kuwekwa : August 3rd, 2023
Shirika lisilo la kiserikali Wilayani Pangani la UZIKWASA limekutana na kutoa mafunzo kwa watumishi wa kada mbalimbali.
Mafunzo hayo yametolewa leo Agosti 2, 2023, katika Ofisi za Shirika la UZIKWA...