siku ya kuwekwa : September 2nd, 2024
Leo Septemba 2,2024, mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Gift Isaya Msuya amekutana na kuzungumza na wakuu wa idara na vitengo pamoja na wakuu wa taasisi mbalimbali za Serikali ndani ya Wilaya ya Pangani.
...
siku ya kuwekwa : September 2nd, 2024
Kamati ya afya ya msingi (Primary Health Care) imeketi na kujadili kuhusu kampeni ya mtu ni afya pamoja na kutoa elimu ya ugonjwa wa Mpox.
Hayo yamefanyika leo Septemba 2, 2024, kati...
siku ya kuwekwa : August 30th, 2024
Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe Akida Bahorera imeketi leo Agosti 30, 2024 kujadili Hesabu za Mwisho za Mwaka 2023/2024 za Halmashauri.
Kik...