siku ya kuwekwa : July 21st, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Pangani kupitia mapato ya ndani na nguvu kazi za wananchi imefanikiwa kujenga Zahanati bora na ya kisasa katika kijiji cha Kigurusimba.
Mradi huu ulianza Januari 22,2023,am...
siku ya kuwekwa : July 21st, 2023
Shule ya msingi Kigurusimba ni moja kati ya Shule 3 zilizopo kata ya Masaika, Wilayani Pangani yenye jumla ya Wanafunzi 351 kati ya hao wanafunzi wa kiume ni 171 na wanafunzi wa kike ni 180
T...
siku ya kuwekwa : July 20th, 2023
Ujenzi wa Jengo la Mama, Baba na Mtoto zahanati ya kimang'a wilayani Pangani umekamilika.Akipokea taarifa hio 17 Julai 2023 mkuu wa wilaya ya Pangani Mh. Zainab Abdallah akiwa na timu yake ya ul...