siku ya kuwekwa : October 11th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Pangani Mheshimiwa Gift Isaya Msuya leo Oktoba 11, 2024 amezindua rasmi zoezi la Kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga kura na kutumia fursa hiyo kujiandikisha pia.
Mhe ...
siku ya kuwekwa : October 9th, 2024
Maafisa Ugani Pangani wakabidhiwa Pikipiki
Katibu Tawala Wilaya ya Pangani bi Ester Gama leo tarehe 09 Oktoba , 2024 amekabidhi pikipiki aina ya Boxer Kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya ...
siku ya kuwekwa : October 9th, 2024
Jitokeze Kushiriki zoezi la Uandikishaji wa orodha ya Wapiga Kura kuanzia tarehe 11 hadi 20 Oktoba 2024.
" Serikali za Mitaa Sauti ya Wananchi, Jitokeze Kushiriki Uchaguzi"....