siku ya kuwekwa : August 19th, 2024
Pangani_ Tanga.
Katibu Tawala Wilaya ya Pangani Bi Ester Gama kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Gift Isaya Msuya leo Agosti 19, 2024 ameongoza kikao cha kamati ya lishe kujadili...
siku ya kuwekwa : August 18th, 2024
Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Mussa Kilakala mapema leo Agosti 18, 2024 amekabidhi ofisi kwa mkuu wa Wilaya mhe Gift Isaya Msuya.
Hayo yamefanyika katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya Panga...
siku ya kuwekwa : August 18th, 2024
Karibu Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Mhe. Hemed Suleiman Abdulla Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mlezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga.
"TUPO TAYARI KWA U...