Kuelekea kilele cha maadhimisho ya Uhuru wa Tanzania Bara Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, imefanikiwa kufanya usafi wa mazingira katika eneo la viwanja vya Halmashauri ya zamani na Bomani leo tarehe 09 Desemba 2024.
Pichani ni watumishi na wananchi wakiendelea na zoezi hil
" Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara: Uongozi Madhubuti na Ushirikishwaji wa wananchi ni Msingi wa Maendeleo yetu
".o.".
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa