Kazi ya ukarabati wa madarasa 10 katika Shule ya Msingi Funguni inaendelea vizuri.

Kwa sasa tupo katika hatua ya umaliziaji, ambapo upakaji wa rangi umekamilika kwa 90%.

Tunakaribia kukabidhi madarasa safi na bora kwa wanafunzi.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa