siku ya kuwekwa : January 31st, 2025
Rai hiyo imetolewa mapema leo tarehe 31 Januari 2025 na Katibu Tawala Wilaya ya Pangani Bi Ester Gama wakati wa mkutano wa Baraza la Waheshimiwa Madiwani lililoketi kupokea na kujadili taarifa za kama...
siku ya kuwekwa : January 29th, 2025
Wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kupitia Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini wameishukuru serikali kwa kuwawezesha na kuwasaidia kuinua kipato cha kaya kupitia mradi huo.
Wame...