siku ya kuwekwa : November 8th, 2024
Balozi wa Mazingira na Maendeleo ndg Michael Msechu leo Tarehe 08 Novemba, 2024 amekutana na kuzungumza na Mkuu wa Wilaya ya Pangani Mhe Gift Isaya Msuya.
Hayo yamefanyika katika Ofisi ya Mkuu ...
siku ya kuwekwa : November 8th, 2024
Leo Tarehe 08 Novemba 2024, Msimamizi wa Uchaguzi kuteua Wagombea kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27,2024
" Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi Jitokeze Kushi...
siku ya kuwekwa : November 7th, 2024
Balozi wa Mazingira na Maendeleo ndg Michael Msechu leo 07 Novemba, 2024 ameungana na timu yake ya (Mama Kaja) kutembelea makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani kuhamasisha wananchi kushiriki...