siku ya kuwekwa : October 30th, 2024
Baraza la waheshimiwa madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Pangani leo Oktoba 30, 2024 limeketi na kujadiri taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo zilizopo katika kata zote 14 za wilaya hiyo....
siku ya kuwekwa : October 29th, 2024
Mkuu wa idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ndg Ramadhani Zuberi ( katikati) kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ndg Charles Edward Fussi, leo Oktoba 29, 2024 ameongoza k...