Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Gift Isaya Msuya amekutana na kuzungumza na Kamati ya Baraza Kuu la Afya Taifa, ili kufuatilia malalamiko mbalimbali yanayojitojeza kwenye sekta ya Afya, hususani katika utoaji wa huduma bora kwa wananchi leo tarehe 13 Machi, 2025, ofisini kwake.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa