siku ya kuwekwa : January 8th, 2026
Kamati ya Elimu na Afya Pangani imetoa wito kwa wazazi na walezi kuhakikisha watoto wote wenye umri wa kuanza shule wanaandikishwa kwenye shule za msingi na sekondari ndani ya wilaya hiyo.
Hayo...
siku ya kuwekwa : January 8th, 2026
Kazi ya ukarabati wa madarasa 10 katika Shule ya Msingi Funguni inaendelea vizuri.
Kwa sasa tupo katika hatua ya umaliziaji, ambapo upakaji wa rangi umekamilika kwa 90%.
Tunakaribia kuka...
siku ya kuwekwa : January 7th, 2026
Wakazi zaidi ya 3,500 Mkwaja kunufaika na maboresho ya huduma za afya
Wakazi zaidi ya 3,500 wa kata ya Mkwaja wilayani Pangani wanatarajiwa kunufaika na maboresho ya huduma za afya baada ya Ser...