• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

Kamati ya Afya ya Msingi (PHC) Pangani Yahamasisha Utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote

siku ya kuwekwa : February 10th, 2026


Kamati ya Afya ya Msingi (PHC) ya Wilaya ya Pangani imewahamasisha wananchi kujiunga na Bima ya Afya kwa Wote, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa sheria hiyo mpya inayolenga kuboresha upatikanaji wa huduma za afya nchini.

Wito huo umetolewa leo, tarehe 10 Februari 2026, wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri Mkoma.

Katika kikao hicho, wajumbe wa kamati walisisitiza umuhimu wa wananchi kuwa na bima ya afya ili kuhakikisha wanapata huduma za matibabu kwa urahisi na kwa gharama nafuu, pamoja na kupunguza mzigo wa gharama za matibabu kwa familia

Vilevile kamati imesisitiza umuhimu wa zoezi la umezeshaji wa dawa tiba kinga kwa watoto linarotajiwa kuanza hivi karibuni.


Aidha, ilielezwa kuwa gharama ya bima hiyo ni shilingi 150,000 kwa mwaka, ambapo itahusisha jumla ya watu sita (6) katika kaya moja.

Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • Kamati ya Afya ya Msingi (PHC) Pangani Yahamasisha Utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote

    February 10, 2026
  • Zahanati ya Kijiji cha Mikinguni Mbioni Kuanza Kutoa Huduma kwa Wananchi.

    February 09, 2026
  • Pangani Yatoa Elimu ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia.

    February 06, 2026
  • Wizara ya Afya Yaimarisha Usalama wa Wagonjwa Pangani Kupitia Tathmini ya IPC.

    February 05, 2026
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Pangani Dc
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa