• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

Wizara ya Afya Yaimarisha Usalama wa Wagonjwa Pangani Kupitia Tathmini ya IPC.

siku ya kuwekwa : February 5th, 2026

Katika kuendeleza jitihada za kuimarisha ubora wa huduma za afya na kulinda usalama wa wagonjwa, tarehe 4 Februari 2026 Wizara ya Afya ilifanya tathmini ya nje ya utekelezaji wa afua za Kukinga na Kudhibiti Maambukizi (IPC) katika Hospitali ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga. 

Tathmini hiyo ilitekelezwa kwa ushirikiano na shirika lisilo la kiserikali la CIHEB-Tanzania kupitia Mradi wa Usalama wa Afya Duniani.

Katika mchakato wa tathmini, shughuli za usimamizi elekezi pamoja na uwezeshaji wa watumishi katika vitengo mbalimbali zilifanyika, kwa lengo la kuimarisha uzingatiaji wa miongozo ya IPC na kuinua viwango vya usalama katika utoaji wa huduma za afya.


 Hatua hizi zililenga pia kujenga uwezo wa watumishi na kuimarisha utendaji kazi wa kila siku katika mazingira ya hospitali.

Baada ya kukamilika kwa zoezi hilo, mrejesho wa matokeo uliwasilishwa kwa watumishi wa hospitali ili kuwezesha kuweka mikakati madhubuti ya maboresho, pamoja na kupanga hatua za ufuatiliaji na utekelezaji bora wa mapendekezo yaliyotolewa, kwa lengo la kuboresha zaidi ubora na usalama wa huduma kwa wananchi.

Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • Wizara ya Afya Yaimarisha Usalama wa Wagonjwa Pangani Kupitia Tathmini ya IPC.

    February 05, 2026
  • HABARI PICHA; WAANDAAJI WA MAUDHUI MTANDAONI WACHUKUA FOMU ZA USAJILI.

    February 05, 2026
  • Wakandarasi wa REA Wawasili Pangani Kukamilisha Mradi wa Umeme

    February 03, 2026
  • Halmashauri ya Wilaya ya Pangani yawakumbuka walimu wenye mahitaji maalumu kwa kuwakabidhi vitendea kazi.

    January 28, 2026
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Pangani Dc
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa