• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI AFANYA ZIARA PANGANI ,ATOA MAELEKEZO MUHIMU

siku ya kuwekwa : February 19th, 2026

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe .Balozi. Dkt. Bashiru Ally Kakurwa (Mb) leo tarehe 19 Februari 2026 amefanya ziara ya kikazi Wilayani  Pangani katika shamba la utafiti wa magonjwa ya mifugo kwa lengo la kuhakiki mipaka ya shamba la wizara ya mifugo dhidi ya wafugaji waliovamia sehemu ya eneo hilo.

Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Waziri amezungumzia kwa kina suala la migogoro ya ardhi na uvamizi wa maeneo ya malisho, akisisitiza umuhimu wa kulinda na kusimamia ipasavyo rasilimali ardhi ili kuimarisha amani na tija katika shughuli za ufugaji.

 Amesema Serikali imeandaa mipango madhubuti ya usimamizi wa maeneo ya malisho ili kuhakikisha wafugaji wanapata mazingira bora ya uzalishaji.


Aidha, amefanya ukaguzi wa maeneo ya malisho na miundombinu ya shamba, akielekeza maboresho ya haraka ili kuongeza ubora wa huduma na uzalishaji.

Mheshimiwa Waziri pia amesisitiza kuwa shamba hilo liendelezwe kuwa kituo maalum cha ulihimilishaji  na uzalishaji wa mbegu bora za mifugo, hatua itakayosaidia kuongeza tija, ubora wa mifugo na kipato kwa wafugaji wa Pangani na maeneo jirani.


Ziara hiyo ni sehemu ya juhudi za Serikali za kuendeleza sekta ya mifugo kwa vitendo, kusikiliza wananchi, na kuhakikisha rasilimali za mifugo zinatumika kwa ufanisi kwa manufaa ya jamii na Taifa kwa ujumla.

Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI AFANYA ZIARA PANGANI ,ATOA MAELEKEZO MUHIMU

    February 19, 2026
  • MRADI WA UJENZI WA DARAJA LA MTO PANGANI WAMVUTIA WAZIRI MKUU

    February 15, 2026
  • DCC Pangani Yapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti ya Sh. Bilioni 23.4 kwa Mwaka wa Fedha 2026/27

    February 12, 2026
  • Kamati ya Afya ya Msingi (PHC) Pangani Yahamasisha Utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote

    February 10, 2026
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Pangani Dc
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa