• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

DCC Pangani Yapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti ya Sh. Bilioni 23.4 kwa Mwaka wa Fedha 2026/27

siku ya kuwekwa : February 12th, 2026


Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Pangani (DCC) imepitisha mapendekezo ya rasimu ya Mpango na Bajeti yenye thamani ya Shilingi bilioni 23.4 kwa mwaka wa fedha 2026/27.


Akizungumza katika kikao cha kamati hiyo kilichofanyika leo, tarehe 12 Februari 2026, katika ukumbi wa YMCA, Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Pangani, Mhe. Ayubu Sebabili, amesema ni muhimu rasimu ya Mpango na Bajeti izingatie vipaumbele vya Serikali, ikiwemo kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Ameongeza kuwa Serikali tayari imetangaza kuanza utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote, hivyo ni wajibu wa viongozi na watendaji kuhakikisha wananchi wanaelewa umuhimu wa mpango huo ili wawe na uhakika wa kupata huduma za afya wanapozihitaji.

Aidha, amesisitiza umuhimu wa kufanya tathmini ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ili kubaini kama inatekelezwa kwa kuzingatia thamani halisi ya fedha, sambamba na kudumisha nidhamu ya matumizi ya fedha za umma.


Kwa upande wake, Mkuu wa Idara ya Mipango na Uratibu, Ndugu Semeon Vedastus, ametaja baadhi ya vipaumbele vitakavyotekelezwa kwa kutumia mapato ya ndani kuwa ni pamoja na kutenga fedha kwa ajili ya mikopo ya asilimia 10 kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, utekelezaji wa afua za lishe, ujenzi wa miundombinu ya shule pamoja na kuboresha miundombinu ya mifugo.

Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • DCC Pangani Yapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti ya Sh. Bilioni 23.4 kwa Mwaka wa Fedha 2026/27

    February 12, 2026
  • Kamati ya Afya ya Msingi (PHC) Pangani Yahamasisha Utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote

    February 10, 2026
  • Zahanati ya Kijiji cha Mikinguni Mbioni Kuanza Kutoa Huduma kwa Wananchi.

    February 09, 2026
  • Pangani Yatoa Elimu ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia.

    February 06, 2026
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Pangani Dc
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa