siku ya kuwekwa : January 13th, 2025
Serikali imeongeza fursa na kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia kwa kujenga na kukarabati miundombinu ya Elimu.
Hii ni Shule ya Sekondari Jumaa Aweso iliyopo wilayani Pangani.
...
siku ya kuwekwa : January 13th, 2025
Wanafunzi wa Shule mbalimbali za Msingi na Sekondari Wilayani Pangani wameanza rasmi masomo yao ya muhula wa kwanza leo tarehe 13 Januari 2025....
siku ya kuwekwa : January 9th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Gift Isaya Msuya, leo Januari 9, 2025 amepokea Viongozi mbalimbali wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), kutoka chuo cha Kijeshi Arusha, ambapo lengo la ujio hu...