siku ya kuwekwa : August 13th, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, Ndg. Charles Edward Fussi (katikati), amekutana na kuwaaga rasmi watumishi wachezaji wa Timu ya Halmashauri wanaotarajia kuelekea jijini Tanga ...
siku ya kuwekwa : August 11th, 2025
Leo tarehe 11 Agosti 2025, Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe. Gift Isaya Msuya ametatua kero ya wafugaji na wakulima katika kijiji cha Kigurusimba.
Kero ya mipaka ya mashamba na maeneo ya malisho, ...