siku ya kuwekwa : March 19th, 2025
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani wamepatiwa mafunzo ya mfumo wa NeST na ufuatiliaji wa utekelezaji wa sheria ya ununuzi wa umma, katika ngazi za chini za Serikali za Mitaa.
...
siku ya kuwekwa : March 17th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Pangani, Mhe. Gift Isaya Msuya, amefungua mafunzo maalumu ya Uraia na Utawala Bora kwa Viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Mafunzo haya, yaliyofanyika katika ofisi ya Mk...