Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Ndugu Rashid Mchatta, leo tarehe 1 Agosti 2025, ametembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Pangani katika maonesho ya Nane Nane Kanda ya Mashariki yanayofanyika mkoani Morogoro.
Katika ziara hiyo, Katibu Tawala amejionea bidhaa mbalimbali zitokanazo na kilimo, mifugo na uvuvi zilizotayarishwa na Halmashauri kwa lengo la kuhamasisha wananchi kutumia fursa za kilimo biashara na kuboresha maisha yao.
Kauli mbiu " Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi 2025".
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa