Leo tarehe 26 Juni 2025, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, ndgu Charles Edward Fussi, amekabidhi rasmi chanjo za Tatumoja kwa maafisa mifugo wa wilaya hiyo katika hafla fupi iliyofanyika katika ofisi za halmashauri(Mkoma).
Chanjo hizo zilizotolewa bure na Wizara ya Mifugo, ni sehemu ya jitihada za kudhibiti na kuzuia magonjwa ya mifugo nchini.
Pia Mkurugenzi amesema tunatarajia kuchanja CBPP kwa ng'ombe na PPR kwa mbuzi na kondoo kwa ruzuku ya serikali.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa