siku ya kuwekwa : January 9th, 2025
Kamati ya Lishe Halmashauri ya Wilaya ya Pangani leo Januari 8, 2025 imeketi na kujadili Maandalizi ya awali ya mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2025/2026 pamoja na vipaumbele vya lishe kwa sekta m...
siku ya kuwekwa : January 8th, 2025
Pangani -Tanga.
Leo Januari 8, 2025 shughuli za matibabu ya macho na upasuaji zimeendelea kutolewa katika hospitali ya Wilaya ya Pangani ambapo zoezi hilo litadumu kwa siku Saba na k...