siku ya kuwekwa : November 21st, 2023
KIKAO CHA TATHIMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE.
Halmashauri ya Wilaya ya Pangani leo tarehe 20 Novemba 2023 imefanya kikao cha tathmini ya Lishe kilichofanyika katika ukumbi wa zamani wa Ha...
siku ya kuwekwa : November 14th, 2023
DC AHITIMISHA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA
Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Zainab Abdallah Jumatatu Novemba 13,2023, ameitimisha Mafunzo ya Jeshi la Akiba (Mgambo) kwenye hafla iliyofanyika Kata ya Kipu...
siku ya kuwekwa : November 7th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Pangani imeendelea kunufaika na Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP), wenye lengo la kuboresha Mazingira ya Kufundishia na Kujifunzia katika Shule za Sekondari.
...