siku ya kuwekwa : October 3rd, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Pangani, Mhe. Gift Isaya Msuya, ameongoza kikao cha tathmini ya utekelezaji wa afua za lishe kwa robo ya nne, mwaka wa fedha 2024/2025, kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya...
siku ya kuwekwa : October 2nd, 2025
Leo tarehe 02 Oktoba 2025, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, ambaye pia ni Mhasibu Ndugu Piusi Mmasi, amefungua rasmi mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa Bajeti wa ...
siku ya kuwekwa : October 2nd, 2025
Shirika la IPOSA (Mpango wa Elimu Changamani kwa Vijana walio nje ya Shule) limefadhili mradi mkubwa wa maendeleo katika Shule ya Msingi Pangani.
Aidha mradi huu unahusisha ujenzi wa kalakana m...