YALIYOJILI MWAKA 2025 – HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI
Sekta ya Kilimo.

Ujenzi wa nyumba ya Afisa Kilimo Kata ya Masaika ni miongoni mwa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na Serikali katika Halmashauri ya Wilaya ya Pangani.

Mradi huu unalenga kuboresha makazi ya wataalamu wa kilimo, kuongeza motisha kazini, na kurahisisha utoaji wa huduma bora za ugani kwa wananchi, jambo litakalochangia kukuza uzalishaji na maendeleo ya kilimo katika kata na wilaya kwa ujumla.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa