Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, leo tarehe 20 Januari 2025, imekagua mradi wa ujenzi wa mabweni mawili ya wanafunzi katika Shule ya Sekondari Funguni, ambapo jumla ya Shilingi milioni mia mbili kutoka Serikali kuu zimetumika.
Kamati hiyo pia imeishukuru Serikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa fedha zinazowezesha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa