Zahanati ya Mwembeni yafikia hatua za mwisho za maandalizi kutoa huduma bora za afya kwa wananchi wa Pangani.

Mradi huu ni sehemu ya dhamira ya Serikali kuboresha upatikanaji wa huduma za afya karibu na wananchi, kwa wakati na kwa viwango vinavyokidhi mahitaji ya jamii.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa