Saturday 21st, December 2024
@UKUMBI WA RASILIMALI KILIMO PANGANI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani anawakaribisha vijana kwenye mafunzo maalumu ya stadi za maisha na ujasiriamali kwa vijana wanaoishi katika kata na vijiji vya pangani Mafunzo hayo yataendeshwa wakufunzi maalumu kutoka mkoani
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa