Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Gift Isaya Msuya amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha upatikanaji wa nyumba ya afisa ugani kilimo Katika kijiji cha Masaika, Wilayani Pangani.
Ameyasema hayo leo tarehe 17 Aprili 2025, wakati wa hafla ya uzinduzi wa nyumba ya afisa ugani kilimo iliyoongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo bw Gerald Mweli.
" Serikali ya awamu ya Sita imeendelea kuboresha mazingira ya watumishi, sote tunaona leo hii nyumba hii itaenda kutoa huduma bora na kuwafikia wananchi wengi".
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa