Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Gift Isaya Msuya, leo Januari 9, 2025 amepokea Viongozi mbalimbali wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), kutoka chuo cha Kijeshi Arusha, ambapo lengo la ujio huo ni maandalizi ya mafunzo ya kijeshi ambayo yatahusisha mazoezi ya vitendo ya kuvuka Mto Pangani.
Ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuwapa wanafunzi wa kijeshi uzoefu wa vitendo katika mazingira halisi na kuongeza uwezo kwa wanafunzi hao.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa