TARATIBU ZA KUFUATA ILI KUSAJILI KIKUNDI CHA SANAA
1. KIKUNDI KIWE NA KATIBA NA MUHTASARI WA KIKUNDI CHAO.
2. KUIPELEKA OFISI YA UTAMADUNI YA WILAYA KWA UKAGUZI.
3. KUCHUKUA FOMU YA USAJILI OFISI YA UTAMADUNI WILAYA
.
KUJISALI MTU BINAFSI
1. ANDAA ANDIKO LA KWANINI UNATAKA KUANZA KAZI HUSIKA YA
SANAA.
2. KUWE NA KATIBA.
3. KUIPELEKA OFISI YA UTAMADUNI YA WILAYA KWA UKAGUZI.
4. KUCHUKUA FOMU YA USAJILI OFISI YA UTAMADUNI WILAYA
KUSAJILI STUDIO
1. ANDIKA KATIBA NAKALA TATU
2. WASIFU WA MSIMAMIZI WA STUDIO HUSIKA.
3. TIN NAMBA.
4. CHUKUA FOMU YA USAJILI OFISI YA UTAMADUNI WILAYA AU
PAKUA KWENYE MTANDAO.
HALMASHAURI NA 75 INAENDA BASATA.
KUFANYA MALIPO YA USAJILI.
1. KWENDA KWA MHASIBU KUCHUKUA KIBALI CHA KULIPIA BENKI.
2. KURUDISHA HATI YA MALIPO KWA MHASIBU TENA KWAAJILI YA KUPATA
RISITI YA MALIPO YA ASILIMIA 25.
3. KWENDA NA RISITI BARAZA KUMALIZIA USAJILI.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa