Katika kuelekea Kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Halmashauri ya Wilaya ya Pangani kupitia timu yake ya Watumishi, itakuwa na mchezo wa kirafiki na Timu ya Ferry Bodaboda katika Uwanja wa Kumba Tarehe 25/04/2024.
Kauli mbiu : Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tumeshikamana na Tumeimarika kwa Maendeleo ya Taifa Letu".
#michezoniafya
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa