CAMFED imeendelea na kampeni ya kuhakikisha mtoto wa kike anapata elimu bila vikwazo
Wilayani Pangani. Leo, tarehe 19 Agosti 2025, wajumbe wapya wa Kamati ya CDC wamepatiwa mafunzo maalum yenye lengo la kuhakikisha miradi ya taasisi hiyo inatekelezwa kwa ufanisi na kuleta matokeo chanya.
Hayo yamefanyika katika Ofisi ya TRC Pangani.
Akizungumza Mkufunzi kutoka CAMFED amesema dhumuni kuu la mpango huo ni kumuwezesha mtoto wa kike kukamilisha masomo yake na hatimaye kustawi kimaisha.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa