Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Mussa Kilakala ametembelea na kukagua miundombinu ya Shule ya Sekondari Jumaa Aweso ambapo amewataka walimu kutoa huduma bora inayo endana na miundombinu hiyo pamoja na kuitunza kwa manufaa ya Taifa letu.
Hayo yamefanyika Julai 11,2024 , ikiwa ni mfululizo wa ziara ya kikazi ya siku saba, yenye lengo la kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa pamoja na kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa