Leo tarehe 11 Agosti 2025, Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe. Gift Isaya Msuya ametatua kero ya wafugaji na wakulima katika kijiji cha Kigurusimba.
Kero ya mipaka ya mashamba na maeneo ya malisho, ambapo pande zote mbili zilikuwa zikilalamikiana kuhusu uharibifu wa mazao na mifugo.
DC aliitisha kikao cha pamoja na viongozi wa kijiji, wawakilishi wa wafugaji na wakulima, na kufanikisha makubaliano ya amani ikiwemo kuweka mipaka wazi, kutenga maeneo ya malisho, na kuimarisha usimamizi wa sheria za kijiji ili kuepusha migogoro ya siku zijazo.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa