DC Pangani akutana na wafugaji kujadili na kutatua migogoro yao
Mkuu wa Wilaya ya Pangani, mhe Gift Isaya Msuya leo tarehe 30 juni 2025, amekutana na wafugaji kutoka maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo katika mkutano maalum ulioandaliwa kwa lengo la kujadili na kutafuta suluhu ya migogoro ya ardhi na malisho inayowakabili.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa