DC PANGANI AKUTANA NA VIONGOZI WA DINI KUJADILI MAENDELEO.
Leo Agosti 28, 2024 mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Gift Isaya Msuya amekutana na viongozi mbalimbali wa Dini na kujadili mambo mbalimbali ikiwemo kudumisha amani katika jamii zetu.
Hayo yamefanyika katika ofisi ya mkuu wa Wilaya huyo ambapo, viongozi hao wamepata fursa ya kumshukuru mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea kiongozi huyo na kuahidi kumuunga mkono kwa maendeleo ya Wilaya hio.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa