Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Mussa Kilakala anawakaribisha wananchi wote wa kata ya Masaika na kata ya Kipumbwi kwenye mkutano wa hadhara wenye lengo la kusikiliza na kutatua kero mbalimbali zinazo wakabili.
Aidha mhe Mussa Kilakala anatarajia kufanya mkutano katika kata hizo mbili ambapo Aprili 5, 2024 anatarajia kukutana na wananchi wa Masaika na Aprili 6,2024 mhe Mussa Kilakala atakutana na wananchi wa kata ya Kipumbwi.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa