Hospitali ya Wilaya ya Pangani itapokea seti ya madaktari bingwa ambao ni;
1. Daktari bingwa wa magonjwa ya *wanawake na ukunga*(Obstetrician and Gynaecologist)
2. Daktari bingwa/bobezi wa *watoto wachanga* (pediatrician/neonatologist)
3. Daktari *bingwa wa upasuaji* (General surgeon/Urologist)
4. Daktari *bingwa wa usingizi na ganzi* (anaesthelogist)
5. Daktari *bingwa wa magonjwa ya ndani* (internal medicine)
*Matibabu yote yatatolewa kulingana na miongozo ya matibabu iliyopo*.
Huduma hizi zitatolewa kuanzia tarehe 20/05/20204 Hadi 24/05/2024 katika Hospitali ya Wilaya ya Pangani.
Wananchi wote mnakaribishwa
#afya ndo msingi
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa