• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA SIASA YA WILAYA YA PANGANI YARIDHISHWA NA MRADI WA SHULE YA SEKONDARI MASAIKA

siku ya kuwekwa : December 11th, 2023

Kamati ya Siasa Wilaya ya Pangani yaridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari Masaika.

Hayo yemethibitishwa leo Disemba 11,2023, wakati wa ziara ya Kamati ya Siasa iliyoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Pangani Cde Abdallah M Abdallah pamoja na wajumbe mbalimbali.

Aidha kamati imeipongeza ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo pamoja na ushirikiano wa diwani wa kata hiyo kwa kuwa mstari wa mbele katika kuleta maendeleo ya Wilaya hii.

Akiongea mala baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa Ujenzi wa Shule hii Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Pangani mhe Abdi Swala amesema  kuwa -"


"kazi nzuri imefanyika na sisi kama chama tumejionea, hivyo niwapongeze wote kwa kuendelea kuitekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa vitendo".


Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Zainab Abdallah ametoa shukrani nyingi kwa mhe Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuleta fedha za miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Pangani na kumpongeza mhandisi wa Wilaya ndg Iddi Maeda  kwa ufuatiliaji mzuri wa mradi huu mpaka kukamilika na kutoa rai kwa wananchi kuilinda miundombinu hiyo.

Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari Masaika   utanufaisha wakazi wengi wa Wilaya ya Pangani kwani utaenda kutoa huduma bora za elimu kwa wakazi na maeneo jirani.


Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • Tangazo la nafasi za kazi

    September 02, 2025
  • DC GIFT AZINDUA KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO

    September 01, 2025
  • RASMI BARABARA ZA MITAA PANGANI ZABORESHWA

    September 01, 2025
  • PANGANI DC YAENDELEA KUNG’ARA SHIMISEMITA 2025.

    August 23, 2025
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Pangani Dc
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa