Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mheshimiwa Mayeka Saimon Mayeka akisaini kitabu cha wageni mapema leo Desemba 13, 2024, alipo wasili ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Pangani kwa ziara ya mafunzo ya siku moja akiwa ameambatana na Mhe. Job Yustino Ndugai ambaye pia ni Spika wa Bunge liliopita ( Mstaafu) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
waheshimiwa Madiwani pamoja na wataalamu wa Halmashauri hiyo.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa